lördag 21 mars 2015

Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano

Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano
Siku ya tano

fredag 20 mars 2015


Huu ni mradi wa ujenzi wa madrasa ya wasichana ambao ni mayatima ulioanzishwa na juhudi za watu wawili binafsi. Tulianzisha fikra za kuwalea wasichana mayatima wa Kiislamu tangu 2013 katika nyumba ya kupanga. Na ilipofika 2014 tukajiwa na fikra za kujenga madrasa yetu ambapo mayatima hao watakuwa wanaeshi na kusoma masuala mbali mbali yanayohusiana na dini yao. Tunamshukuru Allaah kuanzia wiki hii tarehe 16.03.2015 mradi huo wa kujenga madrasa ulianza na mpaka sasa tunazidi kupiga tambo mbele.

Lengo kuu ni kuwasaidia watoto wa kike mayatima na kuwafunza dini yao ili tuweze kuzalisha katika jamii kina mama wasomi wa Shari´ah ambao watakuja kutoa watoto wenye tabia na malezi ya Kiislamu.

Mradi wetu huu hautegemei msaada kutoka kwenye chama, taasisi, jumuiya wala kundi lolote na wala hautaki msaada na mchango huo na khaswa ikiwa ni kutoka kwa watu wenye fikra potofu na walopinda. Ni juhudi zinazoendeshwa na watu binafsi. Hata hivyo yule atayependa kusaidia na kutoa mchango wake ili kuziendeleza juhudi hizi anakaribishwa kwa kile ambacho Allaah atakuwa amemuwezesha. Ijulikane kuwa kila yule ambaye atatoa pesa yake 1 tu basi bila ya shaka yoyote kabisa twamyakinisha kuwa itaenda katika kazi yake stahiki. wa billaahi at-Tawfiyq

Tanbihi! Madrasa hayo yamejengwa juu ya msingi wa kufuata Qur-aan, Sunnah kwa ufahamu wa Salaf-us-Swaalih (wema waliotangulia). 
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
 Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne
Siku ya nne 
Siku ya nne 
Siku ya nne 
Siku ya nne 
Siku ya nne 
Siku ya nne 
Siku ya nne